Vin'gamuzi

Swenailie

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Posts
240
Reaction score
229
Habarini ndugu,
Nauliza Ni king'amuzi gan kina bei rahis mm ninahela ndgo efu hamsn tu na shida yangu niwe napata taarifa ya habari basi. Nipo mwanza mwenye kujua anielekeze tafadhari. Asante
 
Habarini ndugu,
Nauliza Ni king'amuzi gan kina bei rahis mm ninahela ndgo efu hamsn tu na shida yangu niwe napata taarifa ya habari basi. Nipo mwanza mwenye kujua anielekeze tafadhari. Asante
Nunua kingamuzi cha startime
- Bei tsh 22,000
- Utatumia antena
- Kifurushi cha bei ya chini , Utalipia TSH 5,000

Wapi utapata? Kwenye maduka ya mawakala wa startimes
 
Nunua kingamuzi cha startime
- Bei tsh 22,000
- Utatumia antena
- Kifurushi cha bei ya chini , Utalipia TSH 5,000 kila mwezi

Fika maduka ya mawakala wa startimes
Asante ndgu, ntajitahidi katika Hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…