Vingine tuone aibu jamani serikali tatu au mbili haiwezekani

Vingine tuone aibu jamani serikali tatu au mbili haiwezekani

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Ukiona kwenye familia baba kashndwa kuongoza familia mama ataingilia kati lakini ukiona kwenye familia mtoto anaongoza familia jua watoto ni yatima amebaki mkubwa kuchunga wadogo zake lakini ukiona mtoto anaongoza familia wazaz wapo hapo eka alama ya kuuliza na utafakari mara mbili,vilevile ukiona baba wawil au watatu katika familia jua wanamtumia mama kwa faida zao binafsi au ukiona katika familia kuna nyumba kubwa na ndogo jua kaya moja inawivu au haipati mahitaji kamili.
Mifano hii ni sawa na tanzania yetu wengi wanatamani kuwe na serikali mbili au tatu wakati hata moja imewashinda inabidi baba hao wakapimwe DNA na watoto kila kitakapo match ndipo mzaz agundulike laasivyo tutaishia pabaya serikal moja ndio mpango kwan nn maana ya muungano?Tayari mmekwisha funga ndoa iweje mama aolewe tena na mume wa pili wkt wakwanza hajafa wala hajapewa talaka?
mliopewa madaraka tumien ipasavyo co kusema ndio baadae wtt walale njaa
via university of principal focus
 
Back
Top Bottom