Vingozi wa Yanga mnashindwa hata kumtoa Ditram Nchimbi kwa mkopo

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Ina sikitisha Sana ina maana viongoz hawaumii na hii timu juu ya matokeo maana naona Wana nenepeana tu huku sisi mashabiki tunakonda na nywele zina nyonyoka kwa mawazo wengine hatuli vizur chakula hakipiti kooni

Nirud kwenye mada Nchimbi alisajiliwa YANGA kuja kufunga s kudrible au kukaba hadi Sasa mchezaj ana mwaka mmoja na na mwezi hajawah ifungia timu hata goli nasikia hata kwenye mazoezi hajawah kufunga viongoz na makocha hawaoni hili tatizo

Wangemtoa kwa mkopo timu yoyote ili kukuza kiwango au abadili mazingira maana nafas anapata lakn haonyesh mabadiriko

GSM wanaharibu timu wanagawa wachezaji kuna wachezaj wanalipwa na mwekezaj na wengine wanalipwa na susi mashabiki hapo napo n tatizo

YANGA inaviongozi vilaza Sana sijawahi ona jaman
 
Nchimbi ni mchezaji mzuri, hata kama hafungi anatengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake, na kwa taarifa yako hakuna mchezaji Tanzania anayefanya pressing kama Nchimbi, wengine wanaomkaribia ni Mzamiru na kaseke.
 
Nchimbi ni mchezaji mzuri, hata kama hafungi anatengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake, na kwa taarifa yako hakuna mchezaji Tanzania anayefanya pressing kama Nchimbi, wengine wanaomkaribia ni Mzamiru na kaseke.
Hizo pressing zmetusaidia nn kama timu kumbuka tulimsajir aje afunge na yeye analijua Hilo Sasa mfungaj anakaa mwaka hana goli HILO n garasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…