Vini Jr Jana kakutana na watu kama yeye

Kwenye match za kimataifa anaanza kutamba kuwa ana TWO UCL😁

HAKIKA uyu dogo hamnazo kabisa kama alivyosema Neymar he is the most ugliest player.

View attachment 3283624
South America Ina wachezaji wahuni wahuni wengi mno, cheki kikosi cha Diego Simeone Atletico Madrid kimejaa wachezaji wengi kutoka huko ndio maana mpira wao wa kihuni huni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…