BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Ni mabaya au unamanisha nini?Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent
View attachment 3149560TOYOTA CARINA 1973
View attachment 3149562
TOYOTA CARINA 2001
No 1. Unyama sanaKama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent
View attachment 3149560TOYOTA CARINA 1973
View attachment 3149562
TOYOTA CARINA 2001
Nimeizidi mwaka😀Ya 1973 ilikuwa Monster
Duuuh, ShikamooNimeizidi mwaka😀
😀🙏🏾🙏🏾🙏🏾Duuuh, Shikamoo
Kipindi hicho kulikuwa na race ya kupata muscle car yenye muonekano mzuri kulinganisha na miaka ya 90 ambapo walilenga zaidi luxury na muonekano usio wa kispoti.Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent
View attachment 3149560TOYOTA CARINA 1973
View attachment 3149562
TOYOTA CARINA 2001
Ya 73 ni 🔥, mbele ilivyo imekaa kama Mustang Sally. Yeah, ya maana.Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent
View attachment 3149560TOYOTA CARINA 1973
View attachment 3149562
TOYOTA CARINA 2001
Niamkie mie late 60's ..uwe na adabu.Nimeizidi mwaka😀
Mil 57 Be forward kabla ya ushuru wa TRA.Na Bei yake hio vintage Ni haigusiki aisee.
Marahaba mdogo wanga hujambo?😀Niamkie mie late 60's ..uwe na adabu.
Wewe dogo unapenda shikamoo, ingefaa uwe mwalimu wa Shule ya Msingi.Marahaba mdogo wanga hujambo?😀
Hata Toyota Carina ya mwaka 1990 ni moto ile mbaya, huku mbele sijui ilikuwaje!?Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent
View attachment 3149560TOYOTA CARINA 1973
View attachment 3149562
TOYOTA CARINA 2001