Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Nope ni vinyago vya kutengenezaSokwe wa mikumi hao
Kwanini usithamini kazi ya mwenzako. Kama huwezi nunua kaushaLaki moja?
Itakuwa vinyago vya Kuvaa kama KasongoVinyago vya mapambo au kuvaa? Survey si ni karibu na mwenge? Pale mpakani kuna vinyago vingi lkn wanunuaji wakubwa ni raia wa kigeni na bei zinafanywa kulingana na hali yao ya kiuchumi.