Habarin ndugu zangu.........
Nataka kujua hii iko vip, inasababishwa na nini, na nin madhara yake bila kusahau tiba yake.
Nina jirani yangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miez tisa anasumbuliwa na tatizo hili, mtoto anapumua kwa shida pia ana mafua yasiyoisha katika kumchunguza kagundulika na tatizo hili . kwa maaelezo yao wanasema walipoenda hospitali Regence walipewa dawa lakini wakaambiwa hali ile ikiendelea itabidi mtoto afanyiwe upasuaji...
Mtoto ni mdogo jamani na upasuaji ni hatar sana wapendwa..... naombeni kunijuza fresh hili swala ikiwezekana hata dawa madhubuti ya kuviondoa......