lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Jamani hivi hawa vinyozi wakishanyoa nywele zetu huwa wanazipeleka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasiwasi wako nini?jamani hivi hawa vinyozi wakishanyoa nywele zetu huwa wanazipeleka wapi?
jamani hivi hawa vinyozi uwa wanapelekaga wapi nywele zetu? maana nimejiuliza sana bila ya kupata majibu.
Hua zinatengenezewa mito ya kulalia kitandani
nyinine hua zinauzwa nje ya nchi halafu wana tengenezea wigi za wanawake usishangae muhindi au mwarabu ana kipili pili na yeye ana choka kuwa na nywele za kuteleza so ana nunua wigi la nywele za kipilipili
bilashaka jibu limekutosha.
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiyaani nilipoona "title" nikajua hii mada ni yako tu. Teh teh teh!
Hua zinatengenezewa mito ya kulalia kitandani
nyinine hua zinauzwa nje ya nchi halafu wana tengenezea wigi za wanawake usishangae muhindi au mwarabu ana kipili pili na yeye ana choka kuwa na nywele za kuteleza so ana nunua wigi la nywele za kipilipili
bilashaka jibu limekutosha.
jamani hivi hawa vinyozi wakishanyoa nywele zetu huwa wanazipeleka wapi?
😱😱😱😱😱
saluni za Kigoma na Sumbawanga!
:becky::becky::becky::becky:.....
zimefanyaje?