Vinywaji km GRAND MALT havina madhala kwa Mama Mjamzito?!

Vinywaji km GRAND MALT havina madhala kwa Mama Mjamzito?!

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
12,958
Reaction score
9,516
Salam wana Jamvi niko na ndg yangu mke wake ni MJAMZITO anasema mkewe anapenda sana hivyo vinywaji So ameniuliza km najua ikiwa vinamadhala au la! kwakuwa mm cna ufaham wa hayo mambo nimeona nije kwenu wakuu naamini ntapata chakumwambia huyu Ndgu! natanguliza shukran!
 
Back
Top Bottom