Salam wana Jamvi niko na ndg yangu mke wake ni MJAMZITO anasema mkewe anapenda sana hivyo vinywaji So ameniuliza km najua ikiwa vinamadhala au la! kwakuwa mm cna ufaham wa hayo mambo nimeona nije kwenu wakuu naamini ntapata chakumwambia huyu Ndgu! natanguliza shukran!