Vinywaji vya jumla vinapatikana wapi?

Vinywaji vya jumla vinapatikana wapi?

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
HABARI ZA WAKATI HUU WAKUU

Naimani muwazima na bukheri wa afya. Nataka kuuliza ni wapi nitapata vinywaji vya jumla(pombe hususani). Haswa vinywaji kama local beers na hivi vikali.

Kuachana na Manzese ningependa kujua wale wa manzese wanapatia wapi? Na je! Hawa sales representative wa makampuni kama za vyombo vikali kama, jack daniel, hennessy, na premium vodkas mbalimbali nawapataje hawa.

Nawakilisha.
 
Huku posta mpya...... nyuma ya Benjamin Mkapa Tower au Mohans wapo wahindi wanafanya hizo mishe.....
 
Back
Top Bottom