Vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinamaliza nguvu kazi za Taifa

Unabwata tu badala ya kusema Energy zina caffeine ya kiwango kikubwa hivyo hazifai wewe unabwatuka tu na kuwaingilia wanyaji wa K veve.

Sasa iko hivi, kwenye sigara kuna nicotine ni Sumu.

Kwenye mafuta ya kupikia kama ya Korie Kwa mfano Yana Cholesterol nayo ni hatari haifai.

Juice zote za viwandani hazifai.

Soda zote hazifai.

Kwahiyo mambo ni mengi muda ndio mchache, ishi maisha yako.
 
Hakuna mtu aliyekupangia maisha hata kidogo! Fanya utafiti, madereva wa mabasi wengi wanatumia energies mixer na hizi gins! Wakichanganya ajali hii hapa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sasa hoja yako energy drinks au Gin mbona hata uwelewi unaandikanujinga nini unafosi kuweka energy drinks pasipo stahiri
 
Kweli kamanda! Lakini ulishaona hizi energies zetu zinauzwa kwa wenzetu huko duniani?? Yaani MO Extra iwe pale kwenye masoko ya London au New York???

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hilo sasa ni suala la branding na marketing procedures ya company husika kwanini zisiweze kuuza New York?!,

Ukiangalia kwenye hizo chupa za vinywaji kuna neno limeandikwa ISO(International Organization for Standardization) kama ukiona kuna neno hilo basi ujue bidhas husika imequalify kuuzwa kimataifa kwahiyo kama mo energy inayo basi hakuna limitation kuuzwa marekani japokuwa haitakuwa rahisi kwa marekani kuruhusu bidhaa zake zipate competition kutoka nje
 
Sababu kubwa inatokana na WATU kuabudu sana PESA.

Mpaka serikali Ina NJAA sana na PESA, kwahiyo JUKUMU la AFYA yako linabaki kuwa MIKONONI mwako.

Sasa hivi, MATAJIRI wamewekeza sana kwenye VITU ambavyo ni ADDICTIVE kama POMBE, BETTING, SIGARA, SHISHA, na ENERGY DRINKS.

Wanajua ni TATIZO lakini kulingana na KODI wanayochuma hawawezi kusema CHOCHOTE.

Na hii TAMAA ya Pesa ndio inapelekea na MEDIA ( Radios, Mitandao ya simu, TVs na Papers) kuendesha KAMARI za KITAPELI bila wasiwasi.
 
Reddbull ndio energy yenye viwango vya kupata soko worldwide, hawa kina Mwamedi na Bakhressa target yao ni Kwa Bodaboda na watu wa kawaida tu ndio maana bei ya Red bull ni 3500 mpaka 4000 wakati hao kina Mwamedi energy za ni jero jero tu tena ujazo sawa.
 
Yeah ndio maana nimemwambia jamaa hapo juu kwamba km bidhaa haina ISO basi itaishia kuuzwa kwa bodaboda tu hapa Mitaani...Nadhani marketing procedure yao wamelenga hukohuko kwa bodaboda...
 
Yeah ndio maana nimemwambia jamaa hapo juu kwamba km bidhaa haina ISO basi itaishia kuuzwa kwa bodaboda tu hapa Mitaani...Nadhani marketing procedure yao wamelenga hukohuko kwa bodaboda...
Unajichanganya sana! Umesema ukiangalia kwenye hizo chupa kuna neno ISO, sasa hivi tena market target yao ni boda boda tu!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Unajichanganya sana! Umesema ukiangalia kwenye hizo chupa kuna neno ISO, sasa hivi tena market target yao ni boda boda tu!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mimi nimesema hivi "Ukiangalia kwenye hizo chupa za vinywaji" sijasema Mo ni chupa za vinywaji kwa ujumla ,na nikaongezea kwa kusema "kama mo energy inayo" means sina uhakika kama inayo au haina kama inayo basi pia wametargert soko la nje kama haina basi wametarget soko la ndani tu.. mbn inaeleweka?
 
nashauri watanzania 2enze kunywa MNAZI kwa afya,kwanza unatibu kisukari,pili hauna kemikali,tatu ni genuine from sir GOD!!!........mwisho ni kiboko kwa wa2 wanaosumbuliwa na acid nyingi na nyongo 2mboni"wahindi wanakunywa sana mnazi sababu wanajua faida yake"pale DDC kariakoo unauziwa chupa moja 2000,lakini mitaa ya kwetu kuanzia gos,pugu mpaka mvuti unapata kwa jero tu!!!
 
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…