Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 806
- 1,537
Kwakuwa ID yangu inasadiki maisha yangu ambayo nimeamua kuyaonyesha JF.
Nadhan, Na kwa msaada wa wadau wengine ambao wanaweza kutoa matukio yao yaliyowatokea/yanayotokea bar hasa yanayohusiana na Bia, mapenzi au mengineyo (hata ambayo hayahusiani kwa pamoja) ili tupeane matukio.
Lengo ni kujiburudisha/na kupeana Elimu Dunia.
Angalizo: Bia/Pombe ni mbaya na usitumie kama hujafikisha miaka 21 ( kama Mh Rais Mama yetu alivyoshauri umri wa utegemezi).
Nianze na mm, Matukio yangu ni Mengi, Ila tuanze na ya sasa.
Jana nilipita Bar flan maeneo ya Kawe, saa 4 usiku , ila pia nilikuwa nishakunywa sehem nyingne Mikochen.
Nikaona muhudumu mkareee sana, ila nikasema Bar mpya hii nisijishaue, nikanywa bia 2 nikasepa.
Sasa leo nimerud baada ya kazi, nimekaa sehem ya juu hivi, Yule manzi, namuona anahudumia meza 3 za wanaume tupu, na zote ana bia amewekewa mezan na amezifungua na ana kunywa taratibu. Na anakaa kila meza dk 2/3 kuintertain wale washkaj.
Chaaaah! Nikawaza hivi ndio namna wa Manzi wakaree jinsi wanavyotufanya wanaume kwenye real life ya Mapenzi.
Yaana anahandle wanaume lukuki na wote anawaridhisha, ili mrad uwe na hela.
Anyway... Mimi sikwenda pale leo kwaajili yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . Ila Bar mpya lazima uizoee kidogo, si ndio
Tuambie matukio yako hasa yanayohusu wanawake.