Vioja vya wapenzi!!

Vioja vya wapenzi!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Hebu sikia stori za wapendanao za kushangaza kisha tuambie ipi inakuhusu au umeifurahia zaidi!!

1.mama mkwe mnoko!
Siku moja nilimtembelea mpenzi wangu nyumbani kwao,wazazi wake
Hawakuwepo hivyo Mimi Na boyfriend wangu tukaona tusex wakati tumeanza tu mgegedo!!,
Mamaaa! wazazi wake hawa hapa!

Boyfriend wangu alikimbia uchi bila hata aibu mbele yangu!bahati mbaya alianguka akateguka kisigino!

Hospitali mama yake akamueleza daktari kila kitu!

Hakukuwa Na namna tuliachana wiki 2 baadae!

2.mpira Wa ajabu
Wakati nafanya love Na kipenzi changu,tulifanya kamchezo bahati mbaya kampira kama kagoroli nikamuwekea kwenye 0713 yake!ikagoma kutoka!!!

Hospitali ikaamuliwa afanyiwe upasuaji ila wakati akijiandaa kwa upasuaji ghafla kampira kakaruka Na kuzunguka kwa kasi mle ndani Na kumpiga daktari kichwani!!

3.ndizi
Siku moja nikiwa zamu alikuja kituoni kwetu dada ambaye nilisoma nae kidato cha sita,
Ila cha ajabu hakuonyesha uchangamfu wowote!
Nilipomhoji aliniambia ukweli haumwi tumbo ila wakati akiwa nyumbani alimmiss sana ex wake aliyekua akimridhisha sana Na kuamua kutumia ndizi kuingiza ikulu basi ikakatikia huko!

4.mahaba bafuni
Mimi Na mpenzi wangu tulienda kuoga Na kuamua kusex baada ya nyegez kuzidi!dah! Niliteleza Na kuangukia meno ya mbele! Yalilegeaje!
Tangu siku hiyo sijachakachua bafuni Na sidhani ka nitarudia jamani!

Pia kama una simulizi yako tuambie.
By muosha rungu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaah kumbe wewe ni Mwanamke, jina lako(id) haiendani na jinsia yako, ilitakiwa ujiite msuuza rungu sio muosha rungu
 
Back
Top Bottom