Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
huyu mama watamuuwa kwa bp maana bunge la safari hii ni hatari sana lina watu makini vibaya sana.....hivi Sitta yupo ukumbini kweli?
..............Angalizo: Wakati unakuja ambapo chini ya Spika asiye na uwezo basi upo mda ambapo Tundu lissu atakuwa anaongea then mh.Lowasa aingilie,then mh.Mbowe apinge wakati Mwakyembe akigomea utaratibu wa mchangiaji, wooote wakiongea kwa wakati mmoja na pia Spika asiye na uwezo wa kuwatuliza akimwaga chozi. Ni hatari kumpa Uspika mtu asiyejidhatiti.
TUSUBIRI TUONE SARAKASI. Nawatakia siku njema.
She had a string of individuals who fathered her kids...so the grand kids(brats) are a mix of characters...what a home!!!
kamanda yupo Bungeni kama kawa, na nyeti nilizopata ni kuwa ile kura iliyoharibika jana kwenye kumteua huyo mama, jamaa kura yake iliharibika, katoa somo already, siasa za mkuu wa kaya ni za visasi kweli, sijui tunaelekea wapi.
wanajf nimeshangazwa sana na kikao cha leo ndani ya bunge la 10 ambapo mh.ana abdallah alikuwa mwenyekiti.
Hapa mabere marando alikuwa anaomba kura za wabunge zitoshe kuwa spika ila mh.ole sendeka kuanza kukimbia huku na huko kutafuta mic nzuri ya kuweza kutoa sauti ya kutosha. Ole sendeka amepanda kwenye sehemu iliyowekwa kwa ajili ya wagombea ila zitto kabwe akamtoa baru akidai ni sehemu ya wagombea peke yao kusimama. Mama ana abdallah akamaindi nae kakazia kuwa kamwambia ole sendeka asipande ila akakataa.
Baadae ole sendeka akauliza swali ambapo mama ana abdallah akamwambia kuwa ni upuuzi kuuliza swali ilo na kumkalisha kama mtoto. Upande mwingine mh.tundu lissu akauliza swali swali akianza na maelezo ambayo mama anna abdalla hakuyapenda na kumwambia tundu lissu akae chini na kama hajui kanuni za bunge basi aulize wenzake. Tayari kikao kilichoongozwa na mwanamama kimetawaliwa na ubabe na umakini wa wanaume.
Angalizo: Wakati unakuja ambapo chini ya spika asiye na uwezo basi upo mda ambapo tundu lissu atakuwa anaongea then mh.lowasa aingilie,then mh.mbowe apinge wakati mwakyembe akigomea utaratibu wa mchangiaji, wooote wakiongea kwa wakati mmoja na pia spika asiye na uwezo wa kuwatuliza akimwaga chozi. Ni hatari kumpa uspika mtu asiyejidhatiti.
Tusubiri tuone sarakasi. Nawatakia siku njema.

Wakafanye nini!!!!ssm wanampango wa kupeleka FFU bungeni, kwani imewafaa sana kwenye kupora ushindi!!!!!
She had a string of individuals who fathered her kids...so the grand kids(brats) are a mix of characters...what a home!!!
Can you elaborate please? How many kids and how many individulas who father these kids?