Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
mwachie achague kitakacho "muuza"Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni.
Lakini siku za hivi karibuni Viola amekuwa akiweka maudhui ya No Reforms No Election kwenye akaunti zake.
Wapo baadhi ya wafuasi wake wanasema anakosea kuweka maudhui ya kisiasa kwenye akaunti zake wengine wanasema anapatia.
Jee viola mtetezi yupo sahihi au anakosea.
👇
View attachment 3372988
Msikilize hapa!
Amejitolea kuwa sehemu ya ukombozi wa Tanganyika kupitia talanta yakeKuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni.
Lakini siku za hivi karibuni Viola amekuwa akiweka maudhui ya No Reforms No Election kwenye akaunti zake.
Wapo baadhi ya wafuasi wake wanasema anakosea kuweka maudhui ya kisiasa kwenye akaunti zake wengine wanasema anapatia.
Jee viola mtetezi yupo sahihi au anakosea.
👇
View attachment 3372988
Msikilize hapa!
Mafwele amesharuka naye waandae matanga tu.Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni.
Lakini siku za hivi karibuni Viola amekuwa akiweka maudhui ya No Reforms No Election kwenye akaunti zake.
Wapo baadhi ya wafuasi wake wanasema anakosea kuweka maudhui ya kisiasa kwenye akaunti zake wengine wanasema anapatia.
Jee viola mtetezi yupo sahihi au anakosea.
👇
View attachment 3372988
Msikilize hapa!
Sasa kama kapotezwa ni kwa nini usiwalaumu waliompiteza? Yeye kosa lake ni lipi?kachemka sana...
sasa anawaumiza wapendwa wake... kijana ogopa sana kua mfano kwa namna yoyote mzuri au mbaya