Viongozi 2 wa serikali kwenda kwenye mkutano wa BILDERBERG Ugiriki weekend hii

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Je ni nani hapo?

Anyway Mkutano utachukua viongozi kama 130 na naamini AFRICA itawakilishwa na nchi kadhaa ikiwemo Tanzania maana siku hizi tuko kila kona for reasons ambazo nadhani wote tunazijua

Kwenye mkutano ajenda zitakuwa nyingi lakini naamini tangu civil war ya Kenya sie tunaonekana watu wa maana na hasa kwenye mambo ya EAC na infact tunaweza kupush ajenda yetu ya Comoro c/o Nafsika Astir Palace Hotel, Apollonos Avenue 40, 16671 Vouliagmeni, Greece.

Kila nchi itawasilishwa na viongozi wa 2 wa serikali sasa kilichobaki ni kubet kiongozi gani atakuwa Europe kuanzia this weekend

Anyway kwa maelezo zaidi ya hawa jamaa soma hapa:

ohhh kama hujui nazungumzia nini soma hapa:


[ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Bilderberg_group]Bilderberg Group - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame] .
 

tukishabet then what?
 

GT na RA
 
GT

Vipi ndugu yangu, mbona siku hizi haueleweki; nini kimekusibu mwenzetu?
 
mzee gm vp mkuu au ndio jioni njema au weekend kwako inaanza thursday.hahahah
 
mzee gt vp mkuu au ndio jioni njema au weekend kwako imeanza thursday...hahahah
 
GT i see u been hitting that 'gud shit' People do not have the capacity to understand these things.wachunie tuu mkubwa... All it does is make u look more cookoo than u already are..lol
 
Per Diem tu hapo, watu hawajui hata kuhifadhi mabomu wataenda kufanya nini strategic huko?
 
Yes hawa jamaa ni secret society..Inasemekana hawa jamaa wana maguvu ktk Wall Street na wameikamata US Fed Reserves kama mali yao binafsi, and from this it turns out these people are the ones ruling the world. They decide what should be and shouldn't be done. Hussein Obama ndiye kiranja na official stamp ya kupitisha moves zao.

Guys you gotta watch this documentary, 'The Obama Deception' ..its good to watch it...i would recommend it to everyone ..inaweza kuwafumbua macho wengine msojua kwa nini nchi yetu kwa nini inakuwa robbed systematically na watu walewale day in day out.
 
at last wanaoelewa wameingia...maana mwanzo kulikuwa na ukuta mzito sana...
 

Nimeiona Obama deception lakini ukiitazama kwa mbaaali utaona kuwa its kinda true kuwa Obama is just a front man used by "the elite" to serve their agenda..try telling that to the so called great thinkers wa JF ambao kwa kuanza walikuwa hawajui what this group does exactly
 

Yes Hussein Obama is a puppet and a slave, and ironically Osama bin Laden said it too, and people where like oooh..Osama is a madman and a racist!

Its pretty sad kwamba Obama atawezesha juhudi zilizoanzishwa na Bush za kukwapua rasilimali za Africa kwa kutumia weusi wake. Naona anaanza safari Ghana..and as expected ndg zetu Wakenya wanaanza kijiba cha roho eti kwa nini aanzie Ghana..if they only knew..gullibility..lol


This is what Prof Griff (Public Enemy founder) had to say:

Obama has been given a pass by the blueboods, and the ok to join certain secret societies. He's being used to implement the globalist NWO agenda, and to deceive the public into thinking he's about good change. Nothing could be further from the truth. Imperial Fascism gets a facelift- Now a Black face, to suck in the rest of the world in the African population. - Professor Griff (founder Public Enemy)
 
GT, hao ma-elite wetu(I'm thinking gavana wa benki kuu na wa pili sijui) walialikwa au ni members? Agenda kubwa ya mkutano wa mwaka huu ilikuwa ni maswala ya fedha. Wakati huo huo naona Bretton Woods committee wamessuport kuongeza kwa funds kwa IMF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…