Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Fedha za vijiji au kata ni mali za wananchi au mali ya umma ila viongozi wa CCM wakishirikiana na watendaji wa kata na vijiji pamoja na wenyeweviti wao wamekubaliana kuchota fedha za umma kwajili ya kulipa mawakala.
Jambo ili lipo kinyume na sheria na usimamizi wa fedha. Na ili limetokana na CCM kushindwa kulipa mawakala wao.
Hivyo basi wananchi wameanza kupinga suala ilo na kuona kuwa CCM inaenda kuhujumu mapato ya kijiji.
Pia tunashukuru watoa taarifa manake kikao kilikuwa cha siri, tuliwahi sema CCM hakuna mtakalolifanya dunia ya leo watu wasijue.