Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Kitendo cha viongozi wa Chadema kurushiana maneno mbele ya wanachama wenu kimenishangaza sana, wakati umma ukiangalia Chadema kama chama ambacho kitaleta mabadiriko ya uongozi wanagombana hadharani bila aigu tena katika nyakati hihi za kuhamasisha Mwananchi wakajiandikishe katika taftari la wapiga kura uchaguzi wa semrikali za mitaa.
Kitendo cha Makamu Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Magharibi Masanja Mussa Katambi kuzozana na hadharani na kuzuia mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi Mhe. Rhoda Kunchela Oktoba 07, 2024 uliopangwa kufanyika katika Kata ya Kakese, Jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi kwaajili ya kuhamasisha viongozi na wananchi katika kata hiyo kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024, jambo ajabu sana kwa chama kama Chadema asa wakati huu chaguzi.
Kitendo cha Masanja kuzuia na kuleta fujo uwanjani wakati Rhoda Kunchela alikuwa na ratiba ya kufanya mkutano wa hadhara katika kata hiyo ni aibu kwa Chadema, na baada tena Rhoda Kunchela kuitisha kikao cha mashauriano na viongozi wa Kata ya Kakese lakini bado Masanja aliendelea na alimfuata Mwenyekiti wa Mkoa katika kikao hicho na kuanza kumtishia ni tabia ile ile ya utekaji ambazo tunazipigia kelele.