Elections 2010 Viongozi chadema tujulisheni kama hizi kura za urais zinaukweli!!

Elections 2010 Viongozi chadema tujulisheni kama hizi kura za urais zinaukweli!!

Ibra Mo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
793
Reaction score
102
Tunawaomba wanaohusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambie kama haya matokeo yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo mchafu hapa.
 
msome dr.slaa facebook kasema hawa hitaji kukurupuka wana fanya tathmini yao kwanza kabla ya kutoa statement yoyote
 
Back
Top Bottom