Ibra Mo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 793 Reaction score 102 Nov 2, 2010 #1 Tunawaomba wanaohusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambie kama haya matokeo yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo mchafu hapa.
Tunawaomba wanaohusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambie kama haya matokeo yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo mchafu hapa.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 Nov 2, 2010 #2 msome dr.slaa facebook kasema hawa hitaji kukurupuka wana fanya tathmini yao kwanza kabla ya kutoa statement yoyote
msome dr.slaa facebook kasema hawa hitaji kukurupuka wana fanya tathmini yao kwanza kabla ya kutoa statement yoyote