Viongozi hawa hawatufai

MAMU35

Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
63
Reaction score
6
Wanajamii kwa yaliyotokea MBEYA ni fundisho kwa viongozi wengine wasiotumia busara katika maamuzi yao.
Kungekuwa na busara kwa aliyofanya KANDORO hali ya vurugu isingekuwepo.
Wakuu wa mikoa aina ya KANDORO hawatufai kuongoza wananchi
 
mbona uzi huu inaelekea umeuweka mahali pasipo pake?!
nadhani ungepeleka siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…