DOKEZO Viongozi Hospitali ya Dar Group waendeleza Ufisadi na Hujuma dhidi ya Serikali

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Daktareee

Member
Joined
Feb 1, 2022
Posts
20
Reaction score
10
Baada ya jitihada na kazi kubwa ya serikali ya kufanya tathmini na kuanza hatua za kurudisha mali za serikali ikiwemo Hospital ya Dar Group kupitia hotuba ya bajeti ya fedha 2021/22 aliyoitoa Waziri wa fedha Dr.Mwigulu Nchemba.

Viongozi hao walizidisha ufisadi/wizi na kuanza mikakati ya kuihujumu serikali (wanazidi kula kodi za watanzania )

Viongozi hao ambao tokea awali wana tuhuma nzito za kujibu akiwemo mkurugenzi mkuu, mkurugenzi wa utawala, mkurugenzi wa tiba, Auditor na baadhi ya wafanyakazi wa taasisi ambao wanatumiwa na viongozi hao (chawa wa viongozi) wamekua na mikakati ya chini kwa chini ya wizi na hujuma kama ifuatavyo

1(a) Kuna wizi wa dawa hewa wa mamillion ya pesa ambayo viongozi hao wamekua wakipiga deal na baadae na kuwaangushia mzigo huo watu wa chini ilihali wao hawahusiki ktk negociation na payment za dawa (na wao ndio wahusika Mkurugenzi mkuu wa utawala na tiba na Auditor) kisha wanapeleka team ya mchongo ya external auditors ili kijicover na kuflame watu wa chini

1(b) Walianza miradi ya upigaji ya fedha nyingi (ilihali hakun bodi )ikiwemo kufanya ukarabati ambao umeghalimu pesa nyingi tofauti na uhalisia wake , mfano Auditor anasimamia ukarabati na at the same time ajikagua mwenyewe ili kuficha maslahi yao

2) viongozi hao wameendeleza ununuzi wa vifaa tiba fake kwa gharama ya juu sana Mfano, kifaa cha maabara kiitwacho haematology analyzer ambacho hakifanyi kazi ilihali ikiwa kipya , pia walinunua protective gears fake za kujilinda na madhara ya mionzi (x-rays) kwa wagonjwa na wataalam , tokea january hadi leo wameshindwa badilisha na kuweka wataalam ktk hali ya hatari

3) Viongozi hao hawafanyi services na matengenezo ya vifaa mfano generator haifanyiwi sevices halafu wanaenda kukodisha generator njee , na pia wamekua wakikodisha vifaa vya kwa bei ghali mfano wamekodisha machine ya ultrasound na kulazimisha itumike ilihali machines za hsptl zilikua zinafanya kazi (mfano wamekodisha poor machine kwa 6million badala ya kununua kifaa cha tsh 25k )

4) Viongozi hao na watu wao (chawa ) wanahajumu miundombinu ya hospital mfano wamekua wakikata supply ya maji na kusababisha hali ngumu kwa wagonjwa na watoa huduma ,

5) Wamekaidi Amri iliyotolewa ma SERIKALI kuwa wanunue dawa na vifaa toka MSD kwa sasa wananunua dawa kwa supplier wao wa mchongo kwa gharama kubwa (ikiwa na 10%) zao.

6) Mkurugenzi Mkuu ameendeleza unyasasaji, udhalilishaji na kutukana wafanyakazi pamoja na kuwatishia na kujitapa kuwa serikali haiwez mfanya lolote pia anafanya kazi kwa maneno ya kuambiwa na chawa wake ilihali kazi yake ni kujifungia ofisin

7) Mkurugenzi wa Utawala na wenzake wamekua wakitoa mikataba kwa upendeleo na kuangalia watu wao ilihali wengine hawaongezewi mikataba; mikataba mirefu wanapewa chawa wao tu, mfano kuna watu hawana qualification lakini wapo mfano incharge wa OPD ni attendant old school na analindwa na mwanae kurugenzi wa utawala na kuna watu wanaelimu kubwa lakin wanaongozwa na attendant

Lastly, SERIKALI YA MAMA SSH IPO MAKINI NA MPO WATCHED NA SOON HSPTL HIYO INARUDI KUWA MALI YA UMMA NA MTACHUKULIWA SHERIA STAHIKI . IT’S ALMOST OVER..
 
Tuhuma hizi ni nzito. Serikali izifanyie kazi kubaini ukweli

Kweli kabisa na baadhi ya tuhuma zilithibitika na mafile yapo Takukuru na watu wa hazina walienda kufanya ukaguzi na tathmini na madudu mengi yalibainika
 
Serikali ya mama ni sikivu, Mungu mkubwa leo wamekuja watu wa wizara ya fedha na utumishi, tunaomba wawachukulie hawa watu hatua, sisi wafanyakazi watoto wa maskini tunanyanyaswa mnoooooooooooooooo. Mfano kuna chawa mmoja ni Enginia wa vifaa tiba ni mwizi na anajitangaza wazi kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwani ni mtu wa mkurugenz. Amekuwa akihujumu majenereta na miundombinu ya umeme na maji makuzudi kama mtoa taarifa alivyoeleza na hizo jenereta za kukodi ni yeye alileta. Mwaka 2018 aliua mashine ya kipimo maksudi nikiwa namuona na baada ya wiki akaleta mpya na kujigamba halali njaa hata siku moja.
 
Tunataka mjadala bilioni 600, za sensa kwanza acheni zungumzia vijisenti vya kawaida hapa, mnakwapua ma bilioni ALAFU mnakuja na hoja nyepesi hapa
 
Serikali ya mama ni sikivu, Mungu mkubwa leo wamekuja watu wa wizara ya fedha na utumishi, tunaomba wawachukulie hawa watu hatua, sisi wafanyakazi watoto wa maskini tunanyanyaswa mnoooooooooooooooo. Mfano kuna chawa mmoja ni Enginia wa vifaa tiba ni mwizi na anajitangaza wazi kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwani ni mtu wa mkurugenz. Amekuwa akihujumu majenereta na miundombinu ya umeme na maji makuzudi kama mtoa taarifa alivyoeleza na hizo jenereta za kukodi ni yeye alileta. Mwaka 2018 aliua mashine ya kipimo maksudi nikiwa namuona na baada ya wiki akaleta mpya na kujigamba halali njaa hata siku moja.

Swadakta ,Serikali ipo makini na soon wakimaliza ukaguzi Hospital itarud kuwa mali ya umma na sio shamba la bibi , pia Mkurugenzi wa tiba aliyekua akiwatambulisha team ya ukaguz siku ya kwanza alikua akitoa baadhi ya taarifa za uongo na kuficha baadhi ya vitu vya ukweli , lakin uzur ni kwamba kila kitu kinafahamika
 
Back
Top Bottom