Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
mimi ni mtanzania mwenye akili timamu, katika pitapita yangu nilibahatika kumsikia kiongozi mmoja wa dini (picha imeambatishwa) akizungumza na watanzania kupitia chanel ten kuendelea kuligawa taifa kwa kuendesha mjadala wa mahakama ya kadhi akieleza kuwa serikali inawatumia kuwadanganya waislam kuwapatia mahakama hiyo nikashtuka sana, nikamuona kiongozi huyu anataka kutulazimisha wananchi kuchukiana na kuanza kupoteza imani na serikali yetu, jambo hili ni baya na halifai kuigwa.
Wanaomfahamu huyu kiongozi watatupa data zaidi, je huyu kiongozi ana nia njema na tanzania kulazimisha masuala ya dini kuingizwa kwenye katiba???
View attachment 242013View attachment 242013View attachment 242013