Viongozi kama hawa kuendelea kutumia television kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini haikubaliki

Viongozi kama hawa kuendelea kutumia television kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini haikubaliki

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
mimi ni mtanzania mwenye akili timamu, katika pitapita yangu nilibahatika kumsikia kiongozi mmoja wa dini (picha imeambatishwa) akizungumza na watanzania kupitia chanel ten kuendelea kuligawa taifa kwa kuendesha mjadala wa mahakama ya kadhi akieleza kuwa serikali inawatumia kuwadanganya waislam kuwapatia mahakama hiyo nikashtuka sana, nikamuona kiongozi huyu anataka kutulazimisha wananchi kuchukiana na kuanza kupoteza imani na serikali yetu, jambo hili ni baya na halifai kuigwa.

Wanaomfahamu huyu kiongozi watatupa data zaidi, je huyu kiongozi ana nia njema na tanzania kulazimisha masuala ya dini kuingizwa
kwenye katiba???

View attachment 242013

Nadhani ulimsikia Lukuvi alivyongea kanisani,na Sitta aliyesma hataki kuona ZnZ inakuwa nchi ya kiislamu,tuanzie hapo
 
Si kosa lao wameishiwa mada na hii ni ishara ya kutojishughulisha na kusoma. Mimi nawambia wasome Katiba Inayopendekezwa ambayo imejaa kwenye mitandao na hata hard copies zimesambazwa mitaani.
 
Si kosa lao wameishiwa mada na hii ni ishara ya kutojishughulisha na kusoma. Mimi nawambia wasome Katiba Inayopendekezwa ambayo imejaa kwenye mitandao na hata hard copies zimesambazwa mitaani.
10408656_791167674266173_4239474630871864397_n.jpg
wakimaliza kuzisoma siku ya kupiga kura wafanye maamuzi sahihi.
 
Nadhani ulimsikia Lukuvi alivyongea kanisani,na Sitta aliyesma hataki kuona ZnZ inakuwa nchi ya kiislamu,tuanzie hapo

Huna hoja wewe Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchinyenye Mamlaka kamili ambayo imetokana na Muungano wa nchi mbili za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambazo kabla ya Hati ya Makubaliano ya Muungano ya tarehe 22 Aprili, 1964 zilikuwa nchi huru.

AIdha,Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa,utawala wa sheria,inayoheshimu misingi ya haki za binadamu ISIYOFUNGAMANA NA DINI YOYOTE NA INAYOJITEGEMEA.

HAYA NDIYO MAJIBU NILIYONAYO KWAKO.
 
View attachment 243020
wakimaliza kuzisoma siku ya kupiga kura wafanye maamuzi sahihi.

Nadhani ulimsikia Lukuvi alivyongea kanisani,na Sitta aliyesma hataki kuona ZnZ inakuwa nchi ya kiislamu,tuanzie hapo

Huna hoja wewe Kura ya ndiyo ndo mwarobaini wa haya mambo, maana Katiba inayopendekezwa imeweka wazi kabisa Sura ya kwanza, Ibara ya 1 inasomeka hivi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchinyenye Mamlaka kamili ambayo imetokana na Muungano wa nchi mbili za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambazo kabla ya Hati ya Makubaliano ya Muungano ya tarehe 22 Aprili, 1964 zilikuwa nchi huru.

Back
Top Bottom