Viongozi mliokuwa mnatoa hamasa kwa Vilabu vyenu vya kariakoo mbona timu ya Taifa mpo kimya Kama mmemwagiwa maji?

Viongozi mliokuwa mnatoa hamasa kwa Vilabu vyenu vya kariakoo mbona timu ya Taifa mpo kimya Kama mmemwagiwa maji?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimeona hamasa ya Raisi Samia Suluhu Hassan tu.

Wengine mliokuwa mnavimba na kujitutumua mbele ya camera timu zenu za kariakoo (Simba na Yanga) zilipokuwa zikicheza mbona Jambo la kitaifa mmeliacha?

Au nyinyi siyo wazalendo? NALIA NGWENA nilitegemea hamasa kubwa sana kushinda zile za Simba na Yanga lakini nilipoangalia mpira /uwanja hata watu hamsini (50) hawafiki.

Au hamna Imani na timu yenu (taifa stars)?

Nawasilisha hoja.
 
Back
Top Bottom