Wengine mliokuwa mnavimba na kujitutumua mbele ya camera timu zenu za kariakoo (Simba na Yanga) zilipokuwa zikicheza mbona Jambo la kitaifa mmeliacha?
Au nyinyi siyo wazalendo? NALIA NGWENA nilitegemea hamasa kubwa sana kushinda zile za Simba na Yanga lakini nilipoangalia mpira /uwanja hata watu hamsini (50) hawafiki.