masihara haya msaidieni mwenzenuSamahani mkuu ulitaka linywe nini?
masihara haya msaidieni mwenzenu
linakunywa sana mafuta kupita kwaida yake ....Samahani mkuu ulitaka linywe nini?
Toyota Rav4Mkuu jamaa hayupo serious, angekuja na taarifa full aina ya gari, rav4 model gan, cc ngap kwanini alifanya overhaul etc
La kwanza badilisha fundi! Mengine baadae.Nimeifanyia overhall gari langu lakini tatizo la kunywa sana mafuta kupitiliza bado lipo palepale ...
Toyota Rav4
1999
1998cc
Sababu ya kufanya overhaul lilikuwa linaunguza sana oil...
Mkuu nenda pale survey, njia ya kuelekea ardhi university, garage inaitwa 21st century, muulizie fundi anaitwa Mombasa, mengi mtayajadili hapo....au ni PM nikupatie no. YakeKuna fundi aliicheki gari langu na kuniambia nikatafute fundi mzuri wa Fuel Injection kwani ndio ilio na tatiza ...
Je! naweza kupata fundi mzuri wa hiyo Fuel Injection ???
mie nipo Dar Kigamboni ...
na ya kwangu saa izi ina nguzu sana mkuu mpaka unaipenda lakini hilo tatizo wese ndio mtihani ...Daa mkuu iyo overhaul haijasaidia? Mm nmeoverhaul rav 4 vx 1999 saivi naenda km 12 kwa lita ...... Overhaul walicheki clearance ya cylinderhead? Valve walisaga? Pia cheki nozeli [ fuel injector] ........ Mm ilikua inapiga mno wese, halafu oil inaunguzwa gari ilikua inakua nzito haina nguvu ............. Baada ya OVERHAUL gari inanguvu? Ring piston walipima? Kama hazifai walitakiwa wabadili...
na ya kwangu saa izi ina nguzu sana mkuu mpaka unaipenda lakini hilo tatizo wese ndio mtihani ...
kama tano kwa sita hivi mkuu na fuel injector nimebadili lakini hamna kitu ...Mwenzio nilibadili nozeli nilinunua kuna rav 4 mpya ilichinjwa saivi inanusa mafuta, mda unatafuta izo injector uwe na mtaalamu, maana juzi jamaa kauziwa nozel zmewekewa adi supa gluu........ Check injector hizo na throttle body cleaned...... Litre moja inaenda KILOMITA NGAPI SASA?
kama tano kwa sita hivi mkuu na fuel injector nimebadili lakini hamna kitu ...
sawa kiongozi nitajitahidi ...Kama alivosema kaka styvo badili fundi iyo overhaul na mashaka .... Me mwenyewe nilibadili fundi aisee gari imetulia... Kama umecheki nozeli na ni nzima shida ipo bado kwenye engine... Hata mm nlibadil nozel clean throttle body skupata impact , hadi pale nilipobadil fundi akafungua engine ikahakikiwa kila ki2 baada ya hapo 1 litre~ 12 km