Viongozi na Ustaarabu wa kusakata Rumba

yaani kuna uhusiano mkubwa sana kati ya namna ya usakataji wa dansi na uongozi wa mhusika!!
 
Ama kweli Wakubwa wetu hawa...huwezi amini kama ni baba mtu mzima na heshima zake.
 
Sijui kwa nini siku hizi sytle za kucheza muziki zifanane na na nanii... hasa hiyo ya Kapuya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…