Viongozi na wanachama wote wa wa chadema vyuo vikuu-iringa..

Viongozi na wanachama wote wa wa chadema vyuo vikuu-iringa..

Ibrahimu Juma

Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
39
Reaction score
2
Leo,viongozi na wanachadema wafanya kikao cha kujadili maendeleo ya chama na jinsi ya kupambana na ufisadi mkuu katika taifa letu.Lakini pia katika kikao kilichofanywa na wanachama hao,WAUNGA MKONO MAAMUZI YA KAMATI KUU CHADEMA KWA MHE. ZITTO KABWE NA DR. KITILA MKUMBO.
 
Back
Top Bottom