Viongozi nendeni UDOM wanafunzi wanakufa njaa!

Viongozi nendeni UDOM wanafunzi wanakufa njaa!

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Ukiwaona wanafunzi huruma. Wanafunzi wengi tangu wafungue chuo hajapata pesa zao ambazo ni stahiki.

Hali hii imesababisha wanafunzi kusoma na wengne kutumia Mwili yao Vibaya.

Nimepita jana, watoto huruma mno. Serikali Mnafanya Mambo gani haya? Wabunge wekeni mjadala mezani kuokoa wasomi wetu hawa.
 
hz taarifa zingine bhana...we sema hujapata mkopo wewe ...si wanafunzi wote aisee.
 
:behindsofa:Hivi kuna baadhi ya wanafunzi wanapewa Mikopo UDOM na wengine hawapewi? Huyu anayesema njaa ipo sehemu nyingi ana akili timamu kweli au anafikiria kwa kutumia Makalio?
 
Ukiwaona wanafunzi huruma. Wanafunzi wengi tangu wafungue chuo hajapata pesa zao ambazo ni stahiki.

Hali hii imesababisha wanafunzi kusoma na wengne kutumia Mwili yao Vibaya.

Nimepita jana, watoto huruma mno. Serikali Mnafanya Mambo gani haya? Wabunge wekeni mjadala mezani kuokoa wasomi wetu hawa.

Ndo matunda ya SIRIKALI ya ccm. kidumu
 
Andika taarifa vizuri!au unatetemeka mikono kwa ajili ya njaa?Polen sana wana UDOM.Serikali imefulia.
 
itakuwa bado njaa haijawakamata, endeleeni kuwaomba waje UDOM, haki haiombwi, Acheni uwoga
 
Mtaikumbuka michango yenu ya Kampeni.

Poleni Sana, Njaa Mbaya.
 
ukiwaona wanafunzi huruma. Wanafunzi wengi tangu wafungue chuo hajapata pesa zao ambazo ni stahiki. Hali hii imesababisha wanafunzi kusoma na wengne kutumia mwili yao vibaya. Nimepita jana, watoto huruma mno. Serikali mnafanya mambo gani haya? Wabunge wekeni mjadala mezani kuokoa wasomi wetu hawa.
pesa zenu?kwa taarifa yako hizo pesa ni zetu sisi walipa kodi.........tumegoma kulipa kodi.
 
Ukiwaona wanafunzi huruma. Wanafunzi wengi tangu wafungue chuo hajapata pesa zao ambazo ni stahiki.

Hali hii imesababisha wanafunzi kusoma na wengne kutumia Mwili yao Vibaya.

Nimepita jana, watoto huruma mno. Serikali Mnafanya Mambo gani haya? Wabunge wekeni mjadala mezani kuokoa wasomi wetu hawa.

Endelea kusubiri acha uwoga jitose kadai kwa vitendo si maneno. Wabunge wapo wanakula bata wala hawana habari
 
Acha kuandika uongo kwenye mtandao, wewe ulipewa boom ukanunua subwoofer sasa unataka nini? Fanya uamuzi kama huna pesa omba kwa rafiki acha kudeka na visingizio
 
Back
Top Bottom