Halafu na wewe utajiita una Akili timamuSolutin ndogo tu ni kufunga baadhi ya barabara waekwe chinga
Halafu wanunuzi wawe watembea kwa miguu tuSolutin ndogo tu ni kufunga baadhi ya barabara waekwe chinga
Sasa huoni itapunguza kila barabara kuwa na chinga..Halafu wanunuzi wawe watembea kwa miguu tu
Ndo ulikuwa ushauri wa stone huo pia.Halafu na wewe utajiita una Akili timamu
Hii ni kupunguza tatizo tu mkuu. Si suluhu ya tatizo hata kidogo kwa sasa. Hawa watu ni wengi mno. Pia, asili yao ni kumfuata mteja alipo. Hivyo, kuwapa hizo barabara kwa muda hakutoshi,lazima kuna watakaoendelea kuuza maeneo mengine yasiyoruhusiwa.Kwa wenye kumbukumbu, wakumbuke miaka ya nyuma mtaa wa lumumba kuanzia makutano ya uhuru ulikuwa unafungwa baadhi ya siku katika wiki kwa ajili ya wafanyabiashara wadogowadogo.
Inawezekana.
Pia mtaa wa Kongo Kariakoo, ni mtaa ambao wafanyabiashara wadogowadogo wamekuwa hapo kwa miongo kadhaa sasa, cha msingi ni kuwatengea maeneo yao maalum yenye huduma zote za muhimu.
Inawezekana.