Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Viongozi Simba acheni kiburi, Morrison ni msaada mkubwa kwetu, timu haina mtu wa kufoc, Sakho, Banda na Mhilu bado wachanga sana, ujeuri wenu na majivuno mnawaumiza mashabiki wenu, watu mitaani wanaipenda Simba kuliko ninyi, ninyi mko kimaslahi t lkn mtaani watu wanaumiza, mnaonekana kama mnaihujumu Simba, Azam walikuwa wakufa kabisa leo kama Morrison angekuwepo.
Watu wanavumilia sana sema hamjui tu, mnasimamisha wachezaji bila mpango, hamsemi ukweli, timu haina uwezo mnaipeleka ikacheze na Yanga Nusu fainali, siku moto ukiwaka mtashindwa kuuzima.
Tumeudhika sana leo.