Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nyie utopolo mliloga mpate droo na prisonHuo moto sio kama ule mlio washa south Africa? acheni kutegemea ushirikina wajinga ninyi!
Utakuta na wewe eti una demu au mke!!!Viongozi Simba acheni kiburi, Morrison ni msaada mkubwa kwetu, timu haina mtu wa kufoc, Sakho, Banda na Mhilu bado wachanga sana, ujeuri wenu na majivuno mnawaumiza mashabiki wenu, watu mitaani wanaipenda Simba kuliko ninyi, ninyi mko kimaslahi t lkn mtaani watu wanaumiza, mnaonekana kama mnaihujumu Simba, Azam walikuwa wakufa kabisa leo kama Morrison angekuwepo.
Watu wanavumilia sana sema hamjui tu, mnasimamisha wachezaji bila mpango, hamsemi ukweli, timu haina uwezo mnaipeleka ikacheze na Yanga Nusu fainali, siku moto ukiwaka mtashindwa kuuzima.
Tumeudhika sana leo.
Unadhani kila timu wachawi kama nyie? Kilichotokea pale ulikielewa? Ni Djuma alienda kutoa kilichowekwa na wachezaji wa Prisons, tafuta video full utazame.Nyie utopolo mliloga mpate droo na prison
Morrison ni mbwembwe tu, si mchezaji wa maana.Viongozi Simba acheni kiburi, Morrison ni msaada mkubwa kwetu, timu haina mtu wa kufoc, Sakho, Banda na Mhilu bado wachanga sana, ujeuri wenu na majivuno mnawaumiza mashabiki wenu, watu mitaani wanaipenda Simba kuliko ninyi, ninyi mko kimaslahi t lkn mtaani watu wanaumiza, mnaonekana kama mnaihujumu Simba, Azam walikuwa wakufa kabisa leo kama Morrison angekuwepo.
Watu wanavumilia sana sema hamjui tu, mnasimamisha wachezaji bila mpango, hamsemi ukweli, timu haina uwezo mnaipeleka ikacheze na Yanga Nusu fainali, siku moto ukiwaka mtashindwa kuuzima.
Tumeudhika sana leo.
Nakubaliana na wewe.Viongozi Simba acheni kiburi, Morrison ni msaada mkubwa kwetu, timu haina mtu wa kufoc, Sakho, Banda na Mhilu bado wachanga sana, ujeuri wenu na majivuno mnawaumiza mashabiki wenu, watu mitaani wanaipenda Simba kuliko ninyi, ninyi mko kimaslahi t lkn mtaani watu wanaumiza, mnaonekana kama mnaihujumu Simba, Azam walikuwa wakufa kabisa leo kama Morrison angekuwepo.
Watu wanavumilia sana sema hamjui tu, mnasimamisha wachezaji bila mpango, hamsemi ukweli, timu haina uwezo mnaipeleka ikacheze na Yanga Nusu fainali, siku moto ukiwaka mtashindwa kuuzima.
Tumeudhika sana leo.
Ni kweli, halafu hana mwendelezo. Akicheza vizuri mechi moja, zinazofuata anakuwa hana msaada wa maana.Morrison ni mbwembwe tu, si mchezaji wa maana.
Hajawahi kufikisha atleast goli 5 kwa msimu..Ni vizuri pia tungepata takwimu za Morrison, katika misimu miwili aliyocheza Simba , alitakiwa acheze mechi ngapi, amecheza ngapi, amefunga goli ngapi, na assist ngapi, lakini pia tujiulize kwa nini uongozi uliamua kurudisha Chama kikosini, wakati kina Morrison walikuwepo!
Kwahiyo una Id special ya kutukania watu humu? mbona wewe ndio mjinga mjinga kabsa!Utakuta na wewe eti una demu au mke!!!
Wanawake wanavumilia sana
Hahahahaa mwaka huu mtatapika nyweleViongozi Simba acheni kiburi, Morrison ni msaada mkubwa kwetu, timu haina mtu wa kufoc, Sakho, Banda na Mhilu bado wachanga sana, ujeuri wenu na majivuno mnawaumiza mashabiki wenu, watu mitaani wanaipenda Simba kuliko ninyi, ninyi mko kimaslahi t lkn mtaani watu wanaumiza, mnaonekana kama mnaihujumu Simba, Azam walikuwa wakufa kabisa leo kama Morrison angekuwepo.
Watu wanavumilia sana sema hamjui tu, mnasimamisha wachezaji bila mpango, hamsemi ukweli, timu haina uwezo mnaipeleka ikacheze na Yanga Nusu fainali, siku moto ukiwaka mtashindwa kuuzima.
Tumeudhika sana leo.
Next levoooo.Viongozi Simba acheni kiburi, Morrison ni msaada mkubwa kwetu, timu haina mtu wa kufoc, Sakho, Banda na Mhilu bado wachanga sana, ujeuri wenu na majivuno mnawaumiza mashabiki wenu, watu mitaani wanaipenda Simba kuliko ninyi, ninyi mko kimaslahi t lkn mtaani watu wanaumiza, mnaonekana kama mnaihujumu Simba, Azam walikuwa wakufa kabisa leo kama Morrison angekuwepo.
Watu wanavumilia sana sema hamjui tu, mnasimamisha wachezaji bila mpango, hamsemi ukweli, timu haina uwezo mnaipeleka ikacheze na Yanga Nusu fainali, siku moto ukiwaka mtashindwa kuuzima.
Tumeudhika sana leo.
Nyie kwa moto hamfaiViongozi Simba acheni kiburi, Morrison ni msaada mkubwa kwetu, timu haina mtu wa kufoc, Sakho, Banda na Mhilu bado wachanga sana, ujeuri wenu na majivuno mnawaumiza mashabiki wenu, watu mitaani wanaipenda Simba kuliko ninyi, ninyi mko kimaslahi t lkn mtaani watu wanaumiza, mnaonekana kama mnaihujumu Simba, Azam walikuwa wakufa kabisa leo kama Morrison angekuwepo.