Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Injinja Hersi, kijana mdogo tu ambaye ameipa heshima kubwa Yanga kutokana na mipango yake nje na ndani ya uwanja kufanikiwa ameongea maneno ya kufikirisha sana ambayo viongozi wa Simba wanatakiwa kuyafanyia, kama wakipuuza basi mwakani Yanga anabeba ndoo tena.
Pale jangwani akiwa amevalia jeans lenye matobo, injinia alikamata kipaza sauti na kuwaambia wananchi kuwa kuvaa nguo mbovu sio ishu, angalieni madini aliyokuwa nayo kichwani, alisema mafanikio ya yanga ni akili alizokuwa nazo.
Viongozi wa Simba mzibeni mdomo kijana huyu, humo ndani ya timu yenu kuna wapigisha shoti, mwenzen anajua kwenye ligi mtashindana lkn kuna mechi mtapigishwa shoti halafu watakaa tena juu, mwakani ni msimu mgumu sana kwenu Viongozi wa Simba, mambo ya kudanganyana msimu ujao hayapo tena, vinginevyo achieni timu wenye uwezo tuiongoze.