Viongozi Simba fanyieni kazi maneno ya Injinia Hersi aliposema anatumia akili licha ya kuvaa jeans mbovu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Injinja Hersi, kijana mdogo tu ambaye ameipa heshima kubwa Yanga kutokana na mipango yake nje na ndani ya uwanja kufanikiwa ameongea maneno ya kufikirisha sana ambayo viongozi wa Simba wanatakiwa kuyafanyia, kama wakipuuza basi mwakani Yanga anabeba ndoo tena.

Pale jangwani akiwa amevalia jeans lenye matobo, injinia alikamata kipaza sauti na kuwaambia wananchi kuwa kuvaa nguo mbovu sio ishu, angalieni madini aliyokuwa nayo kichwani, alisema mafanikio ya yanga ni akili alizokuwa nazo.

Viongozi wa Simba mzibeni mdomo kijana huyu, humo ndani ya timu yenu kuna wapigisha shoti, mwenzen anajua kwenye ligi mtashindana lkn kuna mechi mtapigishwa shoti halafu watakaa tena juu, mwakani ni msimu mgumu sana kwenu Viongozi wa Simba, mambo ya kudanganyana msimu ujao hayapo tena, vinginevyo achieni timu wenye uwezo tuiongoze.
 
Juzi bana tunatoka kitambaa pale nje Kuna Malaya kibao mwanangu namwambia nipe funguo niwashe ndinga ye kaita Malaya.Basi alivokuja anatupulizia Moshi wa bange usoni halafu ana kipini puani kama Amri shipoor aliyekuwaga anamsubua Amitah Bachani nikajikuta napatwa ganzi.
 
Simba inabidi mwanzo mwanzo wa msimu wacheze mechi kama tatu za Yanga ili wadondoshe kama point 9 hivi, na ahakikishe afungwi na Yanga katika mechi zote mbili. Mengine yatajiset. Mpira wa bongo ukileta ustaarabu mwingi washenzi wanakuzoea.
 
Simba kuna akili inahitajika bado haijapatikana.Simwamini shangazi
 
Hili linafikirisha sana ,Simba kupoteza ubingwa Kwa huu msimu naona ni maajabu sana ukizingatia kadondosha points Kwa timu zipi?
Yaan amedraw na Yanga first leg na second leg kambonda yanga tena Kwa mpira mkubwa sana .
Simba Kuna uhuni ndani ya uongozi unaoendelea, haiwezekan umpige yanga kisawa sawa alafu upoteze mechi na timu kama mtibwa sijui Mbeya city hii haimake sense kabisa.
Unadraw na vitimu vya kawaida sana wkat unao uwezo wa kushinda game ngumu tena Kwa mpira mkubwa.

Tokea Afe Hance nakosa Iman km Simba itasimama Kwa hivi karibu.
Yanga anaenda kutawala misimu kadhaa ijayo.
 
Simba inabidi mwanzo mwanzo wa msimu wacheze mechi kama tatu za Yanga ili wadondoshe kama point 9 hivi, na ahakikishe afungwi na Yanga katika mechi zote mbili. Mengine yatajiset. Mpira wa bongo ukileta ustaarabu mwingi washenzi wanakuzoea.
Bado una amini kwenye haya???
 
Aahaaaaa
 
Haya maneno kwanini yafanyiwe kazi na viongozi wa simba tu? Vipi Azam,big stars nk viongozi wao hawapaswi kuyafanyia kazi? Simba imefungwa mechi moja,simba ndio timu ilifungwa goli chache,simba ndio timu ilioshinda goli nyingi! Kiungo wa simba kalingana magoli na mshambuliaji
Basi kwa maana hiyo hii kauli ya injinia sio ya kufikiriwa na viongozi wa simba ila na timu zote,na wadau wote wa soka,kama kuna watu nyuma ya injinia wanaoharibu mpira wetu ni kukeme haraka,sabab makosa ya kibinadam yamekuwa mengi sana kwenye mechi za timu ya injinia na miongoni mwa makosa ya kibinadam ya waamuzi yalitokea hata mechi dhidi ya Ruvu ambayo imeshuka! Pengine akili anayosema kuitumia injinia ndio inasababisha makosa ya kibanadam kwa waamuzi na kusababisha timu zingine zikose ubingwa na nyingine zishuke daraja!
 

Una hela ? Au unabwabwaja tu
 
Mwambieni Mangungu asithubutu kumuiga Hersi ataondolewa kwa viboko hapo.

Uthubutu wa Hersi aliweza kuwaambia live watu waliovimbiwa mihogo na kuanza kuongea vitu wasivyovijuwa.

Sasa Hersi ameprove alikuwa sahihi, je Mangungu anaweza kuprove hilo kama alivyofanya Hersi kwa kubeba mataji yote na kufika fainali ya CAF?
 
Endeleeni na ujinga huu
 
Kilichoudhi wanasimba ni kukata moto mapema, yani msimu wa pili mfululizo Simba inaenda mechi 3 za mwisho imeshaukosa ubingwa, tulitarajia upinzani uwepo mpaka mechi ya mwisho ya msimu lakini hata hilo Simba imeshindwa

Kuendelea kuwakumbatia kina
Peter banda
Pape sakho
Kibu Denis nk

Pia wachezaji wale wale kikosi cha kwanza kapombe, Zimbwe , inonga, manula hata wakizingua wanajua hawagusiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…