Viongozi Simba kama mnataka mafanikio na huyo Benchika hamishieni mechi zenu zote za ligi na kimataifa uwanja wa Amani Zanzibar, mtakuja kunishukuru

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Uwanja wa Amani umejengwa na unakidhi vigezo vyote vya kimataifa, nchi hii ni moja, ili kukomesha vizabi zabina nawashauri pelekeni gemu zenu uwanja wa Amani.

Kule nako ni Tanzania na walioko ni Watanzania wenzetu na kuna mashabiki wa kutosha, uzuri wake pia tunao wale wataalamu wetu kule kule, nna uhakika uwanja wa Amani hatoki mtu.
 
Hivi ni kazi kubwa kuwatenganisha mashabiki wa Simba wa kizazi hiki na ushirikina? Mbona zamani mashabiki wa Yanga ndo ulikuwa huwagusi lazima waseme umeroga? Kimewapata nini Wana LUNYASI mmekuwa wachawi kamchape Jujumen?
 
Msimgi wa timu mi usajili na uendeshaji wa kitaalamu, kwasasa Simba ata wahamie Burundi timu Yao msingi wake umeoza.
 
Uwanja wa Amani umejengwa na unakidhi vigezo vyote vya kimataifa, nchi hii ni moja, ili kukomesha vizabi zabina nawashauri pelekeni gemu zenu uwanja wa Amani.

Kule nako ni Tanzania na walioko ni Watanzania wenzetu na kuna mashabiki wa kutosha, uzuri wake pia tunao wale wataalamu wetu kule kule, nna uhakika uwanja wa Amani hatoki mtu.
Yaani kule kwenye watu wa nchi nzima ikipigwa filimbi wanakutana amani stadium na uwanja haujai?
 
Uwanja wa Amani umejengwa na unakidhi vigezo vyote vya kimataifa, nchi hii ni moja, ili kukomesha vizabi zabina nawashauri pelekeni gemu zenu uwanja wa Amani.

Kule nako ni Tanzania na walioko ni Watanzania wenzetu na kuna mashabiki wa kutosha, uzuri wake pia tunao wale wataalamu wetu kule kule, nna uhakika uwanja wa Amani hatoki mtu.
Unashindwa kusajili vizuri unasingizia uchawi, unashindwa kuwa na viongozi Bora unasingizia uchawi, timu imejaza wachezaji wazee ukikosa matokeo kisingizio ni uchawi, kwa timu yenu iyo ata mkiamia mbinguni mtapokea kichapo tu kwa maana ata mashabiki wa iyo timu akili zao zishayumba Kama madish ya startimes!
 
Hizi mechi mbili zinazokuja najua Yanga watauchafua sana ule uwanja kwa mambo yao. Kama kuna option ya kwenda kucheza hata Rwanda, ni bora kupeleka mechi huko. Kama hilo haliwezekani basi Simba ihakikishe Yanga anacheza kwanza, wasithubutu kucheza kabla yao.
 
Back
Top Bottom