Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hivi ni kazi kubwa kuwatenganisha mashabiki wa Simba wa kizazi hiki na ushirikina? Mbona zamani mashabiki wa Yanga ndo ulikuwa huwagusi lazima waseme umeroga? Kimewapata nini Wana LUNYASI mmekuwa wachawi kamchape Jujumen?Uwanja wa Amani umejengwa na unakidhi vigezo vyote vya kimataifa, nchi hii ni moja, ili kukomesha vizabi zabina nawashauri pelekeni gemu zenu uwanja wa Amani.
Kule nako ni Tanzania na walioko ni Watanzania wenzetu na kuna mashabiki wa kutosha, uzuri wake pia tunao wale wataalamu wetu kule kule, nna uhakika uwanja wa Amani hatoki mtu.
Hata wangeenda mwezini kipondo kipo pale paleKule ndio hakufai walienda kuweka zindiko juzi kwenye bacca day.
Yaani kule kwenye watu wa nchi nzima ikipigwa filimbi wanakutana amani stadium na uwanja haujai?Uwanja wa Amani umejengwa na unakidhi vigezo vyote vya kimataifa, nchi hii ni moja, ili kukomesha vizabi zabina nawashauri pelekeni gemu zenu uwanja wa Amani.
Kule nako ni Tanzania na walioko ni Watanzania wenzetu na kuna mashabiki wa kutosha, uzuri wake pia tunao wale wataalamu wetu kule kule, nna uhakika uwanja wa Amani hatoki mtu.
Unashindwa kusajili vizuri unasingizia uchawi, unashindwa kuwa na viongozi Bora unasingizia uchawi, timu imejaza wachezaji wazee ukikosa matokeo kisingizio ni uchawi, kwa timu yenu iyo ata mkiamia mbinguni mtapokea kichapo tu kwa maana ata mashabiki wa iyo timu akili zao zishayumba Kama madish ya startimes!Uwanja wa Amani umejengwa na unakidhi vigezo vyote vya kimataifa, nchi hii ni moja, ili kukomesha vizabi zabina nawashauri pelekeni gemu zenu uwanja wa Amani.
Kule nako ni Tanzania na walioko ni Watanzania wenzetu na kuna mashabiki wa kutosha, uzuri wake pia tunao wale wataalamu wetu kule kule, nna uhakika uwanja wa Amani hatoki mtu.