Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Unatengenezwa mkakati mwingine ili muingie kwenye anga zao tena huko kwenye Kombe la Mapinduzi, labda mjiangushe mrudi mapema lakini ukweli ni kuwa makamu mwenyekiti wao ndio mastermind wa kubeba waganga wote kule Pemba, yaani safari hii mkidharau tena mmekula 10.
Huko mtakutana tena tu, njia pekee ya kurudisha imani kwa mashabiki ni kuhakikisha kombe la mapinduzi mnarudi nalo, kundi letu gumu, kuna timu nazo huko ni ngumu sasa kazi kwenu uongozi, pambaneni hadi mhakikishe mnakutana na hao Yanga muwadhalilishe kama walivyotudhalilisha sisi, niko tayari kutolewa kafara mimi na ndugu zangu wote ili mabao 5 waliyotufunga yarudi.