Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Usitutishe Bwana mdogo!!Simba ilikwepo,,,ipo,,na itaendelea kuwepo,,,na kama timu ilikwisha fungwa,,,inafungwa na itaendelea kufungwa,,,ilikwisha fungwa,,,inafungwa,,na itaendelea kufunga,,,kwani wewe katika mapambano,,,mikakati na mipango ya kimaisha yamenyooka Tu hakunaga kushindwa??wale ni watu kama wewe wala Si roboti,,yale ndio maisha yao ya utafutaji sio kila wakati utakuwa bora kwenye kutafuta kuna siku una kula za uso,,unajipanga unakaa sawa unarudi kwenye mapambano,,Na ndio asili ya ulimwengu na walimwengu pia,,Usipende kukaza shingo sana,,,soka ni burudani usilichukulie kwa umakini mnoo utadedi shauri yakoWakifunga tena 5, kikosi kizima na viongozi wa simba wahame Nchi kabisa, maana vita itahamia majumbani kwao.
Jitoe sadaka peke yako ndugu zako hawahusiki kwenye upuuzi wako.Unatengenezwa mkakati mwingine ili muingie kwenye anga zao tena huko kwenye Kombe la Mapinduzi, labda mjiangushe mrudi mapema lakini ukweli ni kuwa makamu mwenyekiti wao ndio mastermind wa kubeba waganga wote kule Pemba, yaani safari hii mkidharau tena mmekula 10.
Huko mtakutana tena tu, njia pekee ya kurudisha imani kwa mashabiki ni kuhakikisha kombe la mapinduzi mnarudi nalo, kundi letu gumu, kuna timu nazo huko ni ngumu sasa kazi kwenu uongozi, pambaneni hadi mhakikishe mnakutana na hao Yanga muwadhalilishe kama walivyotudhalilisha sisi, niko tayari kutolewa kafara mimi na ndugu zangu wote ili mabao 5 waliyotufunga yarudi.
[emoji38][emoji38][emoji38]Wakifunga tena 5, kikosi kizima na viongozi wa simba wahame Nchi kabisa, maana vita itahamia majumbani kwao.