Viongozi Simba, mnataka tumrudishe tena Mangungu Simba ili tuendelee kufungwa na Yanga sio?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kamati ya usajili ya Simba imeyakata majina ya baadhi ya wagombea akiwemo Godfrey Nyange Kaburu na mafia Idd Kajuna bila kutueleza kinagaubaga sababu za kuwakata ni nini hasa. Na badala yake wamerudisha jina la mwanasiasa Murtaza Mangungu.

Simba, ikiwa chini ya Mangungu imekuwa mnyela mno kwa Yanga na hakuna dalili zozote za kuifunga Yanga chini ya uongozi wa Mangungu.

Simba ikiwa chini ya Mangungu haina mafanikio yoyote zaid ya kuingia makundi, ubingwa wa bara umepotea msimu uliopita na mwaka huu unapotea tena.

Mangungu sio kwamba hana uwezo hapana, isipokuwa Mangungu siasa za mpira wetu hazijui tofauti na akina Idd Kajuna, mimi naona kamati ya uchaguzi imetukosea sana, kila niwaangaliapo wagombea naiona Simba inakwenda kudidimia, kabisa kabisa.

Mwingine ni Asha Baraka, hivi huyo dada anaongea nini kwenye bodi? Mambo ya Twanga Pepeta na Simba wapi na wap, tunahitaji wagombea wawe na uwezo kiuchumi, sio wagombea ukiwapa elfu 3 tu ishu zote ziko G..M pale Kigamboni.

Kazi tunayo kiukweli.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Pole sana!, simba akifungwa au akimfunga yanga haikuletei ugali nyumbani, mpira ni sehemu tu ya burudani, usikuchukulie muda wako sana, cha msingi piga kazi madogo wapeleke shule, wasije Taabika ukifa. Simba haitoisidia familia yako usipokuwepo

Nayeyuka kitahilatahila.
 
Simba kufungwa na Yanga kila mechi inatokana na mambo mengi
1. Usajili bora wa Yanga wa wachezaji na kocha
2.Ari ya wachezaji wa Yanga
3.Kuzoea kushinda inawapa wachezaji confidence
4. Simba kuzoea kufungwa inawapa wachezaji wa Simba inferiority complex na kushusha morali ya wachezaji
5. Mashabiki wa Yanga kushangilia kwa nguvu kila mechi na kukosoa mipango mibovu au wachezaji bomu
6. Filosofia ya Yanga kuhesabu "100 unbeaten games" inasukuma wachezaji kupambana
7. Uongozi makini Eng Hersi
8. Kutoruhusu migogoro ya kijinga
9. Kuheshimu wazee wa timu
10. Zawadi kubwa kwa wachezaji wanapoifunga Simba
11. Yanga kubadili kikosi kila mara
12. Yanga kusamehe wachezaji wakorofi kina Morisson , Ambundo, Feisal
13. Kamati bora ya ufundi (mganga kutoka Tanga au wapi?)
14. Yanga kuwa na idadi kubwa ya viongozi wa nchi mashabiki
15. Rangi za jezi zenye bahati (black)

Utopolo wenzangu ongezeeni!!
 
Pole sana!, simba akifungwa au akimfunga yanga haikuletei ugali nyumbani, mpira ni sehemu tu ya burudani, usikuchukulie muda wako sana, cha msingi piga kazi madogo wapeleke shule, wasije Taabika ukifa. Simba haitoisidia familia yako usipokuwepo

Nayeyuka kitahilatahila.
We sio shabiki wa soka bali huenda ni mmoja wa wale mlioingia kushabikia kwa sababu ya kubet.

Siku hizi wacheza kamari ndio wanatuchagulia mechi ya kuangalia bar ninayoangalia mpira.Nahisi nawewe ni mmoja wao

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana, huo upuuzi unafanywa na wavivu wa kufikiria njia mbadala za kuingiza kipato

Nayeyuka kitahilatahila
 
Kamati ya usajili ya Simba imeyakata majina ya baadhi ya wagombea akiwemo Godfrey Nyange Kaburu na mafia Idd Kajuna bila kutueleza kinagaubaga sababu za kuwakata ni nini hasa. Na badala yake wamerudisha jina la mwanasiasa Murtaza Mangungu.

Simba, ikiwa chini ya Mangungu imekuwa mnyela mno kwa Yanga na hakuna dalili zozote za kuifunga Yanga chini ya uongozi wa Mangungu.

Simba ikiwa chini ya Mangungu haina mafanikio yoyote zaid ya kuingia makundi, ubingwa wa bara umepotea msimu uliopita na mwaka huu unapotea tena.

Mangungu sio kwamba hana uwezo hapana, isipokuwa Mangungu siasa za mpira wetu hazijui tofauti na akina Idd Kajuna, mimi naona kamati ya uchaguzi imetukosea sana, kila niwaangaliapo wagombea naiona Simba inakwenda kudidimia, kabisa kabisa.

Mwingine ni Asha Baraka, hivi huyo dada anaongea nini kwenye bodi? Mambo ya Twanga Pepeta na Simba wapi na wap, tunahitaji wagombea wawe na uwezo kiuchumi, sio wagombea ukiwapa elfu 3 tu ishu zote ziko G..M pale Kigamboni.

Kazi tunayo kiukweli.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kwani mangungu anacheza namba ngapi uwanjani?
 
makolo sasa maji sio yapo shingoni,maji yapo utosini...tunashukuru kwa kukiri kwamba simba ipo kwa ajili ya kuifunga yanga na si yanga ipo kwa ajili ya kuifunga simba km mnavyodai
 
Back
Top Bottom