Viongozi Simba nawashauri pelekeni mechi zenu uwanja wa amani Zanzibar

Viongozi Simba nawashauri pelekeni mechi zenu uwanja wa amani Zanzibar

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Serikali imefungia uwanja wa Mkapa hadi Oktoba 24, ule wa Uhuru nao hivyo hivyo, sasa kws vile uwanja wa amani unazinduliwa trh 27 Disemba nawaomba pelekeni mechi zetu kule Zanzibar ili tumalize shughul mapema, Zanzibar tuna watalaamu wetu wengi kule halaf mambo ya kuchezea uwanja kama tunavofanyiwa hapa kule hakuna, achaneni ba ule uwanja wa walamba askirimu, wao wenyewe mnashindana nao kwenye ligi, mtakamata sare pale hadi mtashika adabu, huwezi kwenda kwenye uwanja wa mtu ambaye uko naye vitani, never.
 
Ni October 2024 au October 2023.? Mbona sielewi.?
 
Huyo ndo karismatic fela intataina cjui game chenja ktk nomino nyngn
 
Wameainisha sababu za kuufungia uwanja wa Mkapa?
 
Back
Top Bottom