Serikali imefungia uwanja wa Mkapa hadi Oktoba 24, ule wa Uhuru nao hivyo hivyo, sasa kws vile uwanja wa amani unazinduliwa trh 27 Disemba nawaomba pelekeni mechi zetu kule Zanzibar ili tumalize shughul mapema, Zanzibar tuna watalaamu wetu wengi kule halaf mambo ya kuchezea uwanja kama tunavofanyiwa hapa kule hakuna, achaneni ba ule uwanja wa walamba askirimu, wao wenyewe mnashindana nao kwenye ligi, mtakamata sare pale hadi mtashika adabu, huwezi kwenda kwenye uwanja wa mtu ambaye uko naye vitani, never.