B bahatibahati Member Joined Jul 4, 2023 Posts 44 Reaction score 84 May 2, 2024 #1 VIONGOZI wengi Simba ni mam!uki watuachie timu yetu. Kuanzia Try again, Mangungu, Kajula, nap wote wamekuwa kuiangamiza Simba. Jamani tuwe makini na Hilo. Tusipostuka haraka tutaangamia
VIONGOZI wengi Simba ni mam!uki watuachie timu yetu. Kuanzia Try again, Mangungu, Kajula, nap wote wamekuwa kuiangamiza Simba. Jamani tuwe makini na Hilo. Tusipostuka haraka tutaangamia
C Chami boy Member Joined Apr 29, 2024 Posts 29 Reaction score 57 May 2, 2024 #2 Wanakula tuu mizig n wananenepeana tu ..😂😂
ngenya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,313 Reaction score 1,773 May 2, 2024 #3 Hao wote ni 'watumishi' wa GSM dadadeekii.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 May 2, 2024 #4 Wakuu vipi wazeee wa jangwani na twiga wameingia jikoni?
ngenya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,313 Reaction score 1,773 May 2, 2024 #5 Mpaji Mungu said: Wakuu vipi wazeee wa jangwani na twiga wameingia jikoni? Click to expand... Jikoni wapi sisi tumefungiwa usajili.
Mpaji Mungu said: Wakuu vipi wazeee wa jangwani na twiga wameingia jikoni? Click to expand... Jikoni wapi sisi tumefungiwa usajili.
Lethergo JF-Expert Member Joined Aug 7, 2023 Posts 6,534 Reaction score 11,421 May 2, 2024 #6 Mangungu Try Again MO Wote out Sawa chukueni billion 50 mpeni MO awarudishie timu yenu