Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mechi na Power Dynamo zote sare, mechi na Al Ahly zote sare, mechi na Asec sare nyie hamjashtuka tu, mshambuliaji wetu tunayetemgemea Jean Baleke ndio huyo huyo msimu uliopita alitupa furaha, Leo kimemkuta nn hadi anakosa mabao mengi kiasi hiki, Baleke alianza kukosa mabao na Power Dynamo hadi tukapaza sauti auzwe, Baleke amewakosa Al Ahly nyumbani na ugenini, Baleke huyu huyu anakosa mabao ya wazi na Asec, Baleke huyu huyu anakosa migoli na Gwanengy, kuna nini? Kuna mawili huenda kuna mtu kamfanyia kitu Baleke ama timu nzima imeingia kwenye mfumo wa mshirikina mmoja asieipenda Simba.
Mechi ya Wydad ni ya kufa na kupona, Wydad wameshapoteana lakini kwa ujinga wetu atachukua pointi kwetu na ndio itakuwa mwisho wetu
Mechi ya Wydad ni ya kufa na kupona, Wydad wameshapoteana lakini kwa ujinga wetu atachukua pointi kwetu na ndio itakuwa mwisho wetu