Viongozi Simba SC mchukueni Mudathir Yahya wa Azam FC

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
680
Reaction score
1,306
Sina undugu na Mudathir ila hiki ndicho viongozi wa Simba SC wanapaswa kukifanya mapema
Jamaa Yuko vizuri ni Mmoja kati ya viungo wachache wanyumbulifu hapa nyumbani

Sina mengi mimeona niilete hii akiwa uwanjani isije kusemwa anajipigia promo
 
Sina undugu na mudathir ila hiki ndicho viongozi wa Simba SC wanapaswa kukifanya mapema
Jamaa Yuko vizuri ni Mmoja kati ya viungo wachache wanyumbulifu hapa nyumbani

Sina mengi mimeona niilete hii akiwa uwanjani isije kusemwa anajipigia promo
Wewe ni Pablo?
 
Mkataba wake n tsh 250mil

Kama ponjoro yupo tayar katika ile mil500 atakayotoa kwa usajir aje
 
Simba hawana uwezo wa Kuvunja uo mkataba labda wasubiri mkataba wake uishe wampate Bure. Maana apo bado signing fee.
kwa wachezaji wanaocheza ndani Simba au Yanga kuvunja mkataba siyo jambo ngumu ,kwanza wenyewe wanashobokea kucheza timu hizo
 
kwa wachezaji wanaocheza ndani Simba au Yanga kuvunja mkataba siyo jambo ngumu ,kwanza wenyewe wanashobokea kucheza timu hizo
Wanalijua vizuri Hilo ndio maana sijawajibu
 
Simba hawana uwezo wa Kuvunja uo mkataba labda wasubiri mkataba wake uishe wampate Bure. Maana apo bado signing fee.
kama walivyofanya yanga kusubiri kwa sureboy mkataba wake uishe sio? Azam waliweka bei ya sureboy mezan GSM akaingia mitini..
 
Hatutaki wala urojo sisi ndo maana yule Abdul swamad aliondolewa hao wanacheza yanga tu team ya mamwinyi.
 
George Mpole na Sopu watue haraka Msimbazi huku tukiangalia wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…