Mtu na nusu JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 680 Reaction score 1,306 Feb 19, 2024 Thread starter #21 Nakumbuka nilipuuzwa nilipotoa huu ushauri
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Feb 19, 2024 #22 pwilo said: Hatutaki wala urojo sisi ndo maana yule Abdul swamad aliondolewa hao wanacheza yanga tu team ya mamwinyi. Click to expand... [emoji849][emoji849]
pwilo said: Hatutaki wala urojo sisi ndo maana yule Abdul swamad aliondolewa hao wanacheza yanga tu team ya mamwinyi. Click to expand... [emoji849][emoji849]
kalisheshe JF-Expert Member Joined Mar 19, 2020 Posts 2,064 Reaction score 4,056 Feb 19, 2024 #23 Tate Mkuu said: Kwangu mimi namuona tu kama mchezaji wa kawaida. Click to expand... Bado ni mchezaji wa kawaida?
Tate Mkuu said: Kwangu mimi namuona tu kama mchezaji wa kawaida. Click to expand... Bado ni mchezaji wa kawaida?
D Deleted01 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 2,800 Reaction score 6,927 Feb 19, 2024 #24 Mimi pia niliweka uzi kuuliza shida ya Mwamnyeto nini wakanitukana ila kuna siku watakubaliana na mimi kwamba pale hakuna beki, haha
Mimi pia niliweka uzi kuuliza shida ya Mwamnyeto nini wakanitukana ila kuna siku watakubaliana na mimi kwamba pale hakuna beki, haha
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 20, 2024 #25 kalisheshe said: Bado ni mchezaji wa kawaida? Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema nini? Kwamba Mudathir Yahya Abbas ni mchezaji wa kiwango cha dunia?
kalisheshe said: Bado ni mchezaji wa kawaida? Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema nini? Kwamba Mudathir Yahya Abbas ni mchezaji wa kiwango cha dunia?
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 10,963 Reaction score 13,287 Feb 20, 2024 #26 Mtu na nusu said: Nakumbuka nilipuuzwa nilipotoa huu ushauri Click to expand... Kweli