Viongozi Simba wanacheza dili sio kusajili

Wakimataifa1

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
326
Reaction score
100
Viongozi wa Simba hawana mpango wa kusajili wachezaji wa kimataifa ila wanacheza dili ya kupata hela wanafanya hivi; Wanatangaza wanaleta bonge la mchezaji wanaandaa mechi ya kirafiki washabiki wanahamu ya kumwangalia wanaenda uwanjani wanamuona, si mchezaji lolote.

Sasa wametangaza kumleta mchezaji mwingine wataandaa mechi ya kirafiki, mashabiki kama mlikuwa hamjui ndio mchezo huo wa kupata pesa!
 
Ni deal nzuri kwa maendeleo ya Timu
 
Back
Top Bottom