Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kinachosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mbunge na RC kupeana sumu siyo jambo linalopaswa kuandikwa na kusambazwa na vijana wa chama cha mapinduzi wa Chadema.
Tukianza kutengeneza Drama kama alivyofanya mama tunabomoa umoja wetu kama Taifa, tunaondoa utu wetu na tunafanya watoto kuumizwa na drama za wazazi wao.
Yapo mambo yakiasa ya kufumbia macho na yapo ambayo siyo ya kufumbia macho. Ukimya wa Waziri wa Tamisemi, ukimya wa bunge na ukimya dola katika drama hizi hauna afya kwa Taifa
Tuwe wepesi kuzima moto kabla ya kuwaka. Hawa viongozi wawili waliotengeneza hizi drama nadhani ni muda sahihi wakuwawajibisha watambue wanaongoza wananchi na suala la kukaa kimya pale wanapozushiwa jambo baya siyo sahihi.
Juzi kuna watu walizusha kuhusu Bony Mwaitege, familia yake ilitoka mara moja kukanusha. Na yeye mwenyewe alikanusha.
HAKI YA KUISHI ISIPOLINDWA KWA NGUVU ZOTE ITAPOKONYWA NA KILA ANAYEDHANI ANAMAMLAKA YAKUFANYA HIVYO.
Wanasiasa msifanye drama na uhai hata kama mtu mnamchukia. Tuwapende maadui zetu