Sawa mkuuShetani alishahukumiwa tayari.
Hana tena nafasi ya kutubu Ili arejee Mbinguni, mlango huo kwake ulishafungwa,
Ila Hawa waovu Walio WANADAMU Wana chance ya kutubu, usishangae muovu akatubu na akakutangulia kuingia Mbinguni.
Muhimu tuwaombee wabadilike na kuadhibiwa na Mungu lakini awarejeshee tena ubinadamu wawe watu WEMA.
Ni "Nife Mseme"nife niseme nimekufa kiharakati?ntawaachaje wanaobakiii...roma imbaaa roma imbaaaa
Ubarikiwe 🙏Sawa mkuu
Kile kiapo alichofanya kule Zenji na UVCCM wenzake (B. Malisa alikataa kufanya kiapo hicho) kitajirudia tu.huyo kaenda kutafuta mtoto mwingine, sio sumu wala nini anawapoteza maboya tu. marekani na ulaya alipigwa marufuku asikanyage. utamwekea makonda sumu utamkuta wapi? mtu mchawi aliyeuza hatima yake kwa shetani hadi viongozi wakubwa wanamtetemekea, we unafikiri wanamtetemekea kwa sababu ya kitu gani kingine alichonacho?
(Luke 6:26-28)
Wapendeni adui zenu,
Ubarikiwe!!
kiapo gani icho?Kile kiapo alichofanya kule Zenji na UVCCM wenzake (B. Malisa alikataa kufanya kiapo hicho) kitajirudia tu.
🤣Ubarikiwe!!
Waliozaliwa miaka ya 2000 hawawezi ijua santuri hiyo🙂
Nadhani kama.imetokea umaa yafaa ujueKinachosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mbunge na RC kupeana sumu siyo jambo linalopaswa kuandikwa na kusambazwa na vijana wa chama cha mapinduzi wa Chadema.
Tukianza kutengeneza Drama kama alivyofanya mama tunabomoa umoja wetu kama Taifa, tunaondoa utu wetu na tunafanya watoto kuumizwa na drama za wazazi wao.
Yapo mambo yakiasa ya kufumbia macho na yapo ambayo siyo ya kufumbia macho. Ukimya wa Waziri wa Tamisemi, ukimya wa bunge na ukimya dola katika drama hizi hauna afya kwa Taifa
Tuwe wepesi kuzima moto kabla ya kuwaka. Hawa viongozi wawili waliotengeneza hizi drama nadhani ni muda sahihi wakuwawajibisha watambue wanaongoza wananchi na suala la kukaa kimya pale wanapozushiwa jambo baya siyo sahihi.
Juzi kuna watu walizusha kuhusu Bony Mwaitege, familia yake ilitoka mara moja kukanusha. Na yeye mwenyewe alikanusha.
HAKI YA KUISHI ISIPOLINDWA KWA NGUVU ZOTE ITAPOKONYWA NA KILA ANAYEDHANI ANAMAMLAKA YAKUFANYA HIVYO.
Wanasiasa msifanye drama na uhai hata kama mtu mnamchukia. Tuwapende maadui zetu